ALI Kiba na Ommy Dimpoz Katika Kashfa ya Kutokumlipa Aliyewatungia Nyimbo ya Kajiandae | Gossip Wire
Breaking News
Loading...

Tuesday, December 20, 2016

ALI Kiba na Ommy Dimpoz Katika Kashfa ya Kutokumlipa Aliyewatungia Nyimbo ya Kajiandae


Zimetufikia za kunyapia nyapia kutoka shirika la wambea SHILAWADU kuihusu hitsong ya wakali wawili wa muziki hapa Bongo Ommy Dimpoz naAlikiba na ngoma yao ya Kajiandae.

Inasemekana kuna mtu afahamikae kama Devi Zinda ambaye anadai kuwa kauandika wimbo huo na hapo awali alilipwa shilingi za kitanzania Laki 5 (500,000) na Ommy Dimpoz kama malipo ya wimbo huo na kuahidiwa kumaliziwa kitita kingine cha shilingi laki 5 ili kutimia million 1 kama ilivyokuwa makubaliano ya malipo ya uandishi wa wimbo hu


VIDEO: Kama ulikosa FULL INTERVIEW ya Diamond Platnumz ndani ya XXL, Kaongelea ishu ya OMMY DIMPOZ....Iko hapa nimekuwekea

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT