
Mrembo aliyeiwakilisha Tanzania kwenye Miss World 2016 lililofanyika Washington Marekani Diana Edward, amerudi Tanzania ambapo Waandishi walimdaka Airport na akakubali kujibu maswali mbalimbali ikiwemo ishu kati yake na Miss Kenya ambaye aliingia mpaka kwenye 5 bora.
Nimekuwekea video ya maongezi yote hapa chini
0 comments:
POST A COMMENT