Je Diva Anamjibu Dkt. Mwakyembe Kuhusu Kupinga Wasanii Wasiimbe Nyimbo za Kisiasa? | Gossip Wire
Breaking News
Loading...

Wednesday, May 10, 2017

Je Diva Anamjibu Dkt. Mwakyembe Kuhusu Kupinga Wasanii Wasiimbe Nyimbo za Kisiasa?


Ni muda mchache baada ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe kusema wasanii waachane na tabia ya kuimba nyimbo za kisiasa kwani hakuna msanii aliyewahi kufikia mafanikio makubwa kwa kufanya hivyo.


Mtangazaji Diva the Bawse kupitia mtandao wake wa twitter ameandika ujumbe ambao unasadikika pengine amejibu kauli ya waziri huyo.

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT