IRENE Uwoya Aachana na Bongo Movie, Asema Haiuzi Tena Siku Hizi | Gossip Wire
Breaking News
Loading...

Saturday, December 3, 2016

IRENE Uwoya Aachana na Bongo Movie, Asema Haiuzi Tena Siku Hizi



Msanii Irene Uwoya amesema sasa hivi haigizi tena movie kwa kuwa soko lake limedoda na badala yake atakuwa anacheza series kwani ndio zinazouza
Ila amedai kuna movie walizocheza zamani zinakuwa processed zitatoka:

NIMEKUWEKEA VIDEO HAPA. ANGALIA KISHA SUBSCRIBE KWENYE CHANNEL YETU



google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT